Dukabuy nimewapenda, simu saf na mmenpa kava la chuma na protekta burree, kazi saf nmekbali
Huduma nzuri, mzigo umefika salama
Perfect
Cool
Love this packaging, sikununua kava wala screen protector ila mmeniwekea vyote bureeee
Mzigo wa ukweli, you are the best
Great job, good package
The phone is good & affordable
I liked the service! And my phone still works perfectly even after two years of using it.
Good work.